SectionsExitAmtegemeae Bwana

Amtegemeae Bwana

Marian,Ordinary TimeExit
Chorus

{[s] Amtegemeaye Bwana Mungu,n[w] Ni kama Mlima Sayuni ) *2n(Twakutegemea wewe maana hatutatishika

Kwa maana, sisi ni watoto wakonnawe ni Baba yetu)*2

Verse 2

Kwa uwezo wako Baba ulio nao

Ndiyo maana mataifa yanakusifu

Verse 3

Twaamini kwamba wewe ndiwe Muumba

Ndiyo maana sisi Bwana twakutegemea

Verse 4

Ee Bwana twakuomba ututazame

Angalia mataifa yakutegemee