Amka Kinanda

Baptism,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

{ Ee Mungu Mungu wangu (moyo)

Moyo wangu u thabiti (thabiti)

Nitaimba nitaimba, nitaimba zaburin{ Amka kinanda ewe kinanda - amka ewe kinanda

Amka kinubi ewe kinubi - amka ewe kinubi

Nitaamka alfaji-ri nitamuimbia Bwana. } *2

Verse 2

Ee Mungu nitakushukuru kati ya watu

Nitakuimbia zaburi kati ya mataifan

Verse 3

Kwa maana fadhili zako ni za milele

Na uaminifu wako hata juu mawinguni

Verse 4

Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu yote

Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako