SectionsEntranceAmini Amini

Amini Amini

Lent,LentEntrance
Verse 1

Amin, amin, nawaambia, ninawaambia

Amin, amin, mmoja wenu, atanisaliti

Chorus

Nitampiga mchungaji wa kondoo oo

Na kondoo wa kundi lake watatawanyika x2

Verse 3

Mwana wa Adamu aenda zake,nilivyoandikwa, ole ni wake mtu yule, amsalitiye

Chorus

Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana

Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa *2n

Verse 5

Twaeni mle mwili wangu, uwe ukumbusho

Twaeni mnywe damu yangu, iwe ukumbusho

Chorus

Nitampiga mchungaji wa kondoo oo

Na kondoo wa kundi lake watatawanyika *2

Verse 7

Amini, amini na kutubu, enyi mataifa

Amini, amini na kutubu, turudi kwa Bwana

Verse 8

Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana

Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa *2