Verse 1
Amin, amin, nawaambia, ninawaambia
Amin, amin, mmoja wenu, atanisaliti
Chorus
Nitampiga mchungaji wa kondoo oo
Na kondoo wa kundi lake watatawanyika x2
Verse 3
Mwana wa Adamu aenda zake,nilivyoandikwa, ole ni wake mtu yule, amsalitiye
Chorus
Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana
Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa x2
Verse 5
Twaeni mle mwili wangu, uwe ukumbusho
Twaeni mnywe damu yangu, iwe ukumbusho
Chorus
Nitampiga mchungaji wa kondoo oo
Na kondoo wa kundi lake watatawanyika x2
Verse 7
Amini, amini na kutubu, enyi mataifa
Amini, amini na kutubu, turudi kwa Bwana
Chorus
Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana
Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa x2