Ameweza
Thanksgiving
Verse 1
Haya tazameni nyinyi wenyewe -
Mungu wangu mwenye nguvunametenda yote
Hata magumu yasiyofanyika -
Chorus
Ameweza - Huyo ameweza yametimia x2
Oh Bwana Mungu kaweza -
Yasiyowezekana -
Yote ameyatenda -
Ameweza - Huyo ameweza yametimia *2
Verse 3
Maji yaliyomwagika kabisa -
Ameyazoa yakajaa upya -
Verse 4
Katikati ya bahari ya shamu -
Israeli kapita kwa miguu -
Verse 5
Nilipovukiwa shimo la zege -
Kulipokucha kaniweka huru -
Verse 6
Vilema vyangu nilivyomwonesha -
Ameviguza vikapona mara -n
Verse 7
Nitapaza sauti kilimani -
Dunia yote isikie haya -n