Chorus
Bwana asema hivi
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yaken(Na moyoni mwake amemwacha Bwana
Na moyoni mwa-ke amemwacha Bwana *2)
Verse 2
Kwa maana yeye atakuwa kama vile fukara nyikani
Naye ataona siku zote yote mema yatendwayo
Verse 3
Yeye ataishi maisha ya jangwani na yaliyo na ukame
Kwenye nchi kavu, yenye chumvi isiyokuwa na watu
Verse 4
Kama vile kware asanyaye makinda asiyoyazaa
Ni sawa na yule apataye mali wala si kwa hakin
Verse 5
Amebarikiwa mtu yule amwitaye Bwana ndiye njia,
Ndiye tumaini lake yeye siku za maisha yake