Amecea

4 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana utuhurumie (Ee Bwana) – Bwananutuhurumie *2

Kristu utuhurumie (Ee Kristu) – Kristunutuhurumie *2

Bwana utuhurumie *2

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu juu mbinguni nanamani kote duniani (Kwa watu)nwenye mapenzi mema

Chorus

Tunakusifu Baba tunakuheshimu

Twakuabudu sisi tunakutukuza *2

Twakushukuru Mungu kwa ‘tukufu wakonmkuu ewe Mungu Mfalme (Ee Baba)nwa mbingu Baba yetu

Bwana wetu mwokozi Yesu Kristu Mwananwa pekee wake Mungu (Uliye)

Mwana kondoo wa Mungu

Unayeziondoa dhambi zote za dunianutuhurumie (pokea) pokea ombi letu

Wewe unayeketi kuume kwake Babanutuhuruimie (Sikia) sikia ombi letu

Kwani peke yako ndiye Bwana pekenyako mkuu na Mkombozi (Pekee)npekee Yesu Kristu

Kwa umoja wa Roho Mtakatifu ndaninyake Bwana watukuzwa (Ee Yesu)nmilele na milele

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu, mtakatifu Bwana –

Mungu wa majeshi *2n

Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa –

Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako *2

Chorus

(Hosana juu *4 mbinguni *2)

Mbarikiwa – anayekuja *2 – mbarikiwa

Mbarikiwa anayekuja kwa jina (jina)nlake Bwana *2

Chorus

Hosana juu *4 mbinguni

Mbarikiwa – anayekuja *2 – mbarikiwa

Lamb of God

Agnus Dei

Mwana kondo wa Mungu,nuondoaye dhambi (za ulimwengu),

Ee Mwana utuhurumie *2n

(Mwana kondoo wa Mungu uondoayendhambi (za ulimwengu),n(Ee Mwana utujalie amani) *2