Verse 1
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni nanamani kote duniani (Kwa watu)nwenye mapenzi mema
Chorus
Tunakusifu Baba tunakuheshimu
Twakuabudu sisi tunakutukuza x2
Verse 3
Twakushukuru Mungu kwa ‘tukufu wakonmkuu ewe Mungu Mfalme (Ee Baba)nwa mbingu Baba yetu
Verse 4
Bwana wetu mwokozi Yesu Kristu Mwananwa pekee wake Mungu (Uliye)
Mwana kondoo wa Mungu
Verse 5
Unayeziondoa dhambi zote za dunianutuhurumie (pokea) pokea ombi letu
Verse 6
Wewe unayeketi kuume kwake Babanutuhuruimie (Sikia) sikia ombi letu
Verse 7
Kwani peke yako ndiye Bwana pekenyako mkuu na Mkombozi (Pekee)npekee Yesu Kristu
Verse 8
Kwa umoja wa Roho Mtakatifu ndaninyake Bwana watukuzwa (Ee Yesu)nmilele na milele