SectionsSign of PeaceAmecca Mass (Mtakatifu)

Amecca Mass (Mtakatifu)

Ordinary Time,MarianSign of Peace
Verse 1

Mtakatifu, mtakatifu Bwana –

Mungu wa majeshi x2

Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa –

Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2n(Hosana juu x4 mbinguni x2)

Mbarikiwa – anayekuja x2 – mbarikiwa

Mbarikiwa anayekuja kwa jina (jina)nlake Bwana x2

Hosana juu x4 mbinguni

Mbarikiwa – anayekuja x2 – mbarikiwa