Amani Ya Mungu Baba
Marian,BaptismSign of Peace
Chorus
Amani ya Mungu Baba ni ya, ni ya ajabu *2
Yaweza - kwenda juu, kwenda chini
Yaweza - kwenda mbele kwenda nyuma
Upande upande wa mataifa yotenupande! upande upande wa mataifa yote
Verse 2
Upendo wa Mungu Baba . . .
Verse 3
Baraka za Mungu Baba . . .
Verse 4
Fadhili za Mungu Baba . . .