Amani Tele

Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Bwana ni kinga yangu mimi, sasa nimwogope nani

Bwana ni ngome yangu mimi, sasa nimhofu nani

Chorus

Amani amani amani amani

Mimi nina amani tele

Kwa upande wala sihofu kitu wala siteteleki

Najionea fahari ni katika Bwana (kweli)

Mambo yangu yote ni katika Bwana

Verse 3

Naimba kwa sauti kubwa watu wote wasikie

Na kwa wale wasosikia...

Verse 4

Furaha yangu kubwa mimi kukushirikisha wewe

Ujue kwamba Mungu yupo tena yu kati yetu

Verse 5

Mashariki na magharibi ujumbe huu uwafikie

Pande na kingo za dunia wajue na Mungu yupo

Verse 6

Vijana tubadilike kweli Mungu yupo

Tushangilie tufurahi ngugu kweli Mungu yupo

Sisi tunahangaika kwa nini Bwana Mungu yupo

Tushangilie tufurahi ndugu kweli Mungu yupo