Amani Itawale

Ordinary TimeSign of Peace
Chorus

Mungu tunaomba amani, hapa Kenya

Tupe umoja upendo, mapatanon{ Amani itawale kwa watu wote (pia)

Itawale Kenya amani tawalankatika nchi yetu nzuri } *2n{ Tuwe na upendo kwa watoto, kwa kina mama,

Kwa wazee wote,nna kwa vijana wote nguvu ya taifa } *2

Verse 2

Ee Mungu Baba, twaomba amani

Linda viongozi, wajalie afyan

Verse 3

Ufukuze njaa, magonjwa na vifo

Utawale pote milele amina