Chorus
Altare altare (altare twendeni) *2
Altare yake Mungu Baba twende *2
Verse 2
Altare yake Mungu Baba njoo twendeni
Tumealikwa leo
Tumsifu Mungu Baba wetu wa milele
Ni muumba wetu asifiwe
Verse 3
Mwili wako na damu yako ni chakula cha roho
Uzima wangu raha yangu
Asante Mungu wetu Baba umetuchagua
Ili tuwe wako hadi mwisho