Chorus
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, ale-luya *2n{ Amefufuka alivyosema,naleluya, aleluya, aleluya, aleluya } *2
Verse 2
Amefufuka alivyosema, aleluya aleluya . . . * s/a/t/b
Verse 3
Siku hii ya Bwana, tukufu,
Tuifurahie na tuishangilie
Verse 4
{ Kristu amefufuka ni kweli ni kweli ni kweli . . .
Kristu amefufuka, ni kweli, ni kweli,
Aleluya aleluya . . . } * [s/a/t/b]
Verse 5
Amefufuka kaburini, Kristu kafufuka
Aleluya, aleluya . . .
Amefufuka alivyosema
Bwana mfalme mkuu
Aleluya aleluya . . .
Verse 6
Amefufuka kweli kweli Bwana mfalme mkuu
Aleluya aleluya . . .