Chorus
Aleluya aleluya aleluya aleluya
Bwana (leo) Bwana amefufuka *2
Verse 2
Yeye ni Bwana wa Mbingu na dunia - amefufuka
Ametundikwa msalabani kwa ajili yetu - amefufuka
Verse 3
Katikati yao wanyang'anyi alisulubiwa - amefufuka
Hata mijeledi alipigwa kwa ajili yetu - amefufuka
Verse 4
Yeye ni nuru ya ulimwengu toka kwake Baba - amefufuka
Amekuja auleta mwanga kwetu wanadamu - amefufukan
Verse 5
Amedhihirisha na upendo wake Mungu kwetu - amefufuka
Nasi tumpokee mioyoni mwetu wanadamu - amefufuka