Chorus
{Akawaonyesha mana ili wale,nakawapa nafaka ya mbinguni
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa
Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha} * 2
Verse 2
Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu
Ambayo mababa zetu walituambian
Verse 3
Lakini aliamuru mawingu ya mbingu
Akaifungua milango ya mbinguni
Akawanyeshea mana ili wale
Akawapa nafaka ya Mbingunin
Verse 4
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa
Aliwapelekea chakula kuwashibisha
Aliwapeleka kwa mlima wake takatifu
Mlima alioununua kwa mkono wake wa kuume