SectionsEucharistAkawanyeshea Mana

Akawanyeshea Mana

Resurrection,MarianEucharist
Chorus

Akawanyeshea mana, akawanyeshea mana ili wale

Akawapa nafaka ya Mbinguni

Akawapa nafaka ya Mbinguni ili wale

Verse 2

Mambo tuliyosikia na kuyafahamu

Ambayo Baba zetu walituambia

Hayo hatutaficha wana wenu

Huku tukiwaambia kizazi kingine

Sifa za Bwana na nguvu zake

Verse 3

Lakini aliyaamuru mawingu juu

Akaifungua milango ya Mbinguni

Verse 4

Mwanadamu akala chakula cha mashujaa

Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha