Akamba mass

6 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana tuhurumie

Ee Bwana tuhurumie, ee Bwana ee,

Bwana tuhurumie

Kristu tuhurumie

Ee Kristu tuhurumie *3

Gloria

Glory to God

Chorus

Utukufu juu kwa Mungu mbinguni

Na amani duniani kwa watu wa mapenzinwenye mapenzi mema.

Tunakusifu (Baba) tunakuheshimu.

Tunakuabudu (Baba) tunakutukuza.

Baba tunakushukuru kwa ajili ya utukufu,nutukufu wako mkuu.

Ewe Mungu ni mfalme wa Mbinguni,

Mungu Baba, Baba ndiwe Mwenyezi.

Ewe Bwana Yesu Kristu ndiwe mwananwake Mungu, ndiwe mwana wake Baba.

Ewe Bwana Mungu Mwana kondoo wake

Mungu, Mwana wake Baba

Ewe mwenye kuondoa zetu dhambi zandunia, Bwana utuhurumie.

Ewe mwenye kuketi kuume kwake Baba,newe utuhurumie.

Ni kwa kuwa ndiwe uliye pekee yako

Mtakatifu, Bwana Yesu Kristu

Na pamoja naye Roho Mtakatifu katikanutukufu wa Mungu Baba.

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu Bwana

Mtakatifu Bwana, Mtakatifu Bwanan(Bwana) Mungu wa majeshi x2

Chorus

hosanna juu mbinguni,nhosanna (hosanna) juu mbinguni.

Mbinguni na dunia zimejaa utukufu wakon

Mbarikiwa ajaye kwa jina lake Bwana

Hosanna juu mbinguni,nhosanna (hosanna) hosanna juu mbinguni *2

Aleluya

Alleluia

Halleluyaia

Halleluia, alleluia (halleluia)

Halleluia halleluia *2

Chorus

hosanna juu mbinguni,nhosanna (hosanna) juu mbinguni.

Mbinguni na dunia zimejaa utukufu wakon

Mbarikiwa ajaye kwa jina lake Bwana

Hosanna juu mbinguni,nhosanna (hosanna) hosanna juu mbinguni *2

Amen

Great Amen

Amina

Amina, amina (amina)

Amina, amina *2

Lamb of God

Agnus Dei

Mwanakondoo

Mwana wa Mungu uondoaye dhambi zandunia utuhurumie *2

Mwanakondoo,

Mwana wa Mungu uondoaye dhambi zandunia. Utuhurumie.

Utujalie, utujalie, amani

Utujalie, utujalie, utujalie amani. *3