SectionsBible ProcessionAhimidiwe Mungu Baba

Ahimidiwe Mungu Baba

Marian,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Ahimidiwe Mungu Baba, asiyeyakataa maombi

Maombi yangu,ahimidiwe yeye

Ahamidiwe Mungu Baba asiyeyakataa maombi yangu

Wala hakuniondolea fedha zake mavumbini

Nami nami siku zote nitaziimba sifu zake zote Mungu

Verse 2

Mimi nilimlilia Bwana,Mungu kwa sauti

Sifa zake nikazitangaza, naye amenijibu

Verse 3

Lakini kweli Mungu,Mungu amenisikiliza

Hakika amenisikiliza,maneno ya sala yangu

Verse 4

Enyi mnaomcha Mungu,njooni nyote mkasikilize

Nami nitayasikilizeni,aliyonitendea