Chorus
Acheni visingizo wanadamu,nacheni visingizio kwamba hali ni ngumu *2
Nenda mkatoe (vipaji) nenda mkatoe vipaji nnenda mkatoe vipaji kwa bwana *2
Verse 2
Siyo ninyi wenye magari ya kifahari mnaodai hali ni ngumu.
Siyo ninyi wenye fedha nyingi mifukoni mnaodai hali ni ngumu.
Verse 3
Siyo ninyi wenye majumba ya kifahari mnaodai hali ni ngumu.
Ndani yake mmejaza vitu vya dhamani mnaodai hali ni ngumu.
Verse 4
Siyo ninyi mnaovuna mazao mengi mnaodai hali ni ngumu.
Siyo ninyi mnaopokea mishahara mnaodai hali ni ngumu.
Verse 5
Msidhani mmepata kwa uwezo wenu mnaodai hali ni ngumu.
Bali ni Mungu aliye wajalia hayo mnaodai hali ni ngumu.
Verse 6
Kumbukeni mjane alotoa dinari mnaodai hali ni ngumu.
Hakubakiza chochote mfukoni mwake mnaodai hali ni ngumu.