SectionsEucharistAcheni Acheni

Acheni Acheni

Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,LentEucharist
Chorus

(Mwenyezi ameniumba, akanileta katinyenu, niwakumbushe watu wake thamaninyenu duniani) x2 (Acheni acheni kufanmoyo, acheni acheni kukata tama.Yeyenaliyewaumba anaijua kazi yake) x2

Verse 2

Aliijua asili yenu hata kablanhamjaumbwa, Ramani ya maisha yenu,nyote imo mikononi mwake, magonjwanyanayowatesa na maumivu yasiyokoma,nni mdogo kuliko yale aliyoyaponya mwenyewen

Hali mbaya ya kiuchumi, mlo mmoja madeninmengi, ni njia ya kunyenyekea na kumpa

Mungu ukuu, misiba inayowaliza mnapofwanna ndugu zenu, ni njia ya wapendwa wenunkwenda mbinguni wakafurahin

Maumivu ya kuonewa kudhulumiwankusingiziwa, ni nafasi ya kusamehe nankuishi kwa utakatifu. Matatizo ya ndoanzenu na migogoro ya familia, ni bahatinmmejaliwa ya kuishi kwa uvumilivu

Bebeni misalaba uyenu, nyamazeninmsinungunike huo ndio wokovu wenunshikilieni msiachie